Monday, November 4, 2013

HATIMAE WEMA,JOKATE WAKUTANISHWA NA MSIBA


Kila kitu mungu ana makusudi yake endapo tu pale kinapotokea.wiki moja tangu baba mzazi wa mwanadada Wema kufiwa na baba yake mzazi mzee Isaack Sepetu aliefariki dunia mnamo saa kumi na mbili asubuhi katika hospital ya TMJ jijini Dar.
Jokate alifanikiwa kufika na kumfariji mwanadada Wema.

No comments:

Post a Comment