Monday, November 4, 2013

HUYU NDIO MWANAUME ANAEONGOZA KWA KUA NA MUSTACHI MREFU DUNIANI.


Hapa akiwa anazifanyia usafi akiwa kwake
Na kwa kuona kama haitoshi zaidi anaweza kuziweka kama waya umeme kutokana na jinsi zilivokaa

Alivozishika ni dhahiri kwamba amezitunza kwa muda mrefu sanaaa mpaka kufikia hapa

Unaweza kudhani ni za bandia ila hizi ni halisi,pia mke wake anajivunia kumwona mme wake yuko hivi.

No comments:

Post a Comment