Saturday, February 9, 2013

BAADHI YA MOVIES MPYA ZA MWAKA HUU 2013.ZITAZAME HAPA>>>>>>


Kwa wapenzi wa filamu za action hii hapa inakuhusu maaana iko njia kukujia ndani ya mwaka huu.kwanza ina mambo mengi yakusisimua ambayo yatakufanya usiweze kuichoka kuitizama.Hii hapa ni trailer yake.


warm bodies.

Shuhudia yaliyomo ndani ya hii movie ambayo imesheheni vituko,ukatili na mafunzo yanayopaswa kufuatwa na askari yeyote ulimwenguni ispokua kuua.
knights of Bdassdom.

No comments:

Post a Comment