Monday, November 4, 2013

KUWA WA KWANZA KUISOMA HII,NINA JINSIA MBILI NA NINATAFUTA MTU MWENYE JINSIA YEYOTE

Dunia ina kila kitu aidha cha kufurahisha na mengine ni ya kuhuzunisha,kama hili

huyu ni mwanamke ambae amekaa kwa zaidi ya miaka 20 bila kuingiliwa kimwili na mwanaume yeyote kutikana na hofu kua yeye ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi japokua kwa upande wa jinsia ya kike ndio haifanyi kazi vizuri ila ya kiume iko sawa.

No comments:

Post a Comment