Thursday, January 31, 2013

TIZAMA HII VIDEO YA GOLDIE FEAT AY

hii ndo video aliyoifanya mshiriki wa Big Brother Africa Goldie kutoka nchini Nigeria akiiwakilisha vizuri ndani ya jumba hilo mwaka jana 2012.Katika video hii ameweza kumshirikisha msanii kutoka Tanzania Ambwene Yesaya mara baada ya kujinyakulia sifa kede kede kutokana na kubeba tunzo yake ya wimbo bora wa kushikisha uitwao speak with your body ambao aliwashirikisha wakali toka bondeni.

No comments:

Post a Comment