Thursday, January 31, 2013

WEMA SEPETU NDANI YA HUBA TENA.




Wema Isaack Sepetu  aja na hili mara baada ya kua single kwa muda toka kuachana na mpenzi wake Nseeb Abdul alimaarufu Diamond,ajikuta akiingia kwenye mahaba mazito na aliekua mchumba wa miss Tnzania namba 2 wa mwaka 2000 Mercy Galabawa.
Haya yameweza kujiri nyumbani kwa Wema,pale aikiwa na jamaa huyu aitwae Haidary Cavilla,aidha yasemekana Haidary ni mdogo kiumri ukilinganisha na Wema ambapo yasemekana kua Haidary ana mkwanja mrefuuu kumzidi mamaaa Wema na hio imejiri mara baada ya kununuliwa gari aina ya Audi Q7 ambapo Wema alidata nayo.hizi baadhi ya picha wakiwa nyumbamni kwa Wema

No comments:

Post a Comment