Thursday, January 31, 2013

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI MAHAKAMANI





Askari waliomleta mahakamani mtuhumiwa wa mauaji ya aliekua mwandishi wa kituo cha habari cha chanel ten marehemu Daudi Mwangosi,mtuhumiwa huyo wa kikosi cha F.F.U mwenye namba G2573 Pasificus Cleophance Simon (23),wamemtibua hakimu aliekua anasikiliza shitaka hilo mara baada ya kuambiwa wamrudishe kizimbani mtuhumiwa huyo baada ya kuidharau mahakama hiyo.Tukio hilo lililotokea leo majira ya saa 5:30 mara baada ya hakimu kuombwa kutajwa kwa tarehe nyingine ya kusikilizwa kwa kesi hio.mtuhumiwa amerudishwa rumande mpaka siku itakapotajwa tena.

No comments:

Post a Comment