Thursday, January 31, 2013

BWANA MISOSI MIKONONI MWA-AMANDA

Msanii wa kizazi kipya au waweza kuiita bongo fleva ndugu Joseph Rushau alimaarufu Bwana misosi ameweza kutambulishwa kwa mzazi na mjomba wa mchumba wake nae akiwa kwenye tasnia ya filamu nchini alimaarufu Bongo movie nae akijuliakana kwa jina Tamrina Mohamed au ''Amanda''.
Haya yaliwezakujiri wiki iliyopita maeneo ya msasani beach,mwanadada huyu aliweza kutumia siku yake ya kuzaliwa kwa kumtambulisha mwenzi wake huyo ambae anampenda sana.''kula keki na kunywa shampeni pamoja na mama yangu na mjomba,na kwa mama Dotnata na wengine waalikwa ni ishara tosha kua Misosi umekubalika kwenye familia yetu'',hayo ndo maneno ambayo yalikua yakisemwa na mwanadashosti huyo akiwa ameweka pozi na mchumba wake huyo,

No comments:

Post a Comment