Wednesday, January 30, 2013

PHD HEMED AHAMIA NIGERIA

Mapenzi ni lugha ambato kila nafsi hua inaongea kwa nyakati tofauti tofauti na ndio iliyomtokea Hemed Suleiman alimaarufu PHD mara baada ya kuangukia kwa mrembo wa kinigeria nae pia akiwa ni msanii wa nchi hio iliyosheheni wasanii maarufu akiwa na yeye mwenyewe akijulikana kwa jina la Tiwa Savage.

No comments:

Post a Comment