Thursday, January 31, 2013

RIHANNA AWEKA BAYANA KURUDI KWA CHRISS BROWN



Msanii wa muziki na anaetamba dunia kote kwa ujumla akitambulika kwa vibao kadha wa kadha kama unfaithful,Califonia king bed,diamonds,music of the sun na vingine vingi na huyu si mwingine bali ni Rihanna.
Ameamua kuliweka wazi jambo la kurudiana na msanii mwenzke aliekua mpenzi wake Chriss Brown.''Niliona ni vizuri zaidi mimi kua na furaha'',hayo ni maneno ya mwanadada huyo akileeleza jarida la Rolling stone,akaendelea kusema kua ''sikutaka kufuata  mtazamo wa mtu yeyote hata kama alikua anakosa,ni kosa kama makosa mengine.
Maisha yangu na mwenzangu yamebadilika kutokana kwamba hata tukiwa tunatembea njiani,tukiwa club,studio na sehemu zingine zoteeeee ninapokua nae hatuna majibizano kama yalivokua zamani maana saivi kila mmoja wetu anajua cha kufanya na pia tunajaliaana na zaidi ya yooooote tunapendana.

No comments:

Post a Comment