Wednesday, November 6, 2013

MWANAUME ATUMIA UUME WAKE KWA KUCHOREA PICHA.



Huyu ni mteja wake akiwa anachorwa na msanii wa kusani picha



Anaitwa Tim Patch kutoka Australia, Anachora Picha Kwa Kutumia Uume Wake. Badala ya kutumia brash maalum za kuchora yeye anatumia Uume wake kuchora picha kali za wateja wake na hana aibu, yupo tayari kusimama uchi mbele ya wanawake na wanaume na kuwachora.



hii ni baadhi ya picha alizochora.






No comments:

Post a Comment