Wednesday, November 6, 2013

HII NDIO MOVIE ILIYOFANYWA NA WATANZANIA WAIISHIO MAREKANI.

Ni filamu iliyofanywa kwa ushirikiano na watanzania waishio marekani na kuunganisha vipande vya nchi zote mbili ikiwa ni pamoja Tanzania ambapo wahusika wake wakuu ndio wamezaliwa inaitwa GOING BONGO.
itizame trailer hapa.Imegharimu $ 300,000 sawa na milioni 450 za kitanzania

No comments:

Post a Comment