Tuesday, February 12, 2013

WATOTO SABA NA MAMA WAFARIKI PAPO HAPO.



Habari zilizotufikia jana jioni ni kwamba kuna Ajali iliyotokea  saa 11.Watoto saba,Dreva na mama mmoja wa kimasaai na watoto wake wote wamefariki dunia.Wanafunzi 7 waliofariki wakilikuwa wamepanda gari(lift) wakitokea shule Chalinze sekondari wakielekea maneo ya Mdaula.
Gari walilopata lift linanamba za usajili hizi T363 AZG ,Tutawaletea picha za jali hivi punde.

No comments:

Post a Comment