Friday, January 25, 2013

WEMA SEPETU AZUA GUMZO MITANDAO YA KIJAMII.

Msanii wa tasnia ya filamu nchini WEMA SEPETU,hivi karibuni ameweza kuzua gumzo katika mitandao ya kijamii hasa facebook mara baada ya kupost picha zake kwenye mtandao wa instagram,ikiwa inamuonesha akiwa katika hali flani ya chumbani kwani alionesha tumbo lake pamoja na sehemu za kifua chake.
kwa alivosema ney wa mitego hii inaweza kua na ukweli ndani yake kua makahaba wamo bongo movie kwa matendo wanayoyafanya wasanii wetu wa tasnia hiiya filamu.Mbali na hapo watu waliendelea kuonesha hisia zao kwa kupitia picha hio ya mwanadada Wema sepetu,mambo yalikua kama hivi;

No comments:

Post a Comment