Friday, January 3, 2014

VIDEO YA CHAPA NYINGINE YAKE CHEGE CHIGUNDA IKO HAPA,ITAZAME


HAYA NDIO MANENO YA MH. ZITTO KABWE ALIYOYAANDIKA KUTOKA KWENYE BIBLIA.

Kuhusiana na lile shitaka alilowakilisha Mahakamani,mh.Zitto Zuberi Kabwe kaandika ivi kwenye akaunti yake ya facebook

ISAYA 54:14 Utathibitika katika haki utakua mbali na kuonewa, kwa maana hutoogopa, na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.Tazama, yamkini watakusanyana , lakini si kwa shauri langu watu wowote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako.

HISTORIA FUPI YA ALIEKUA WAZIRI WA FEDHA DR.WILLIAM MGIMWA.SOMA HAPA


 

 Historia fupi ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dr. William Mgimwa aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kuzaliwa: Januari 20, 1950 Kalenga Iringa.
Elimu:
1961 -1965 Shule ya Msingi Wasa
1966 - 1967 Shule ya Msingi Tosa
1968 - 1969 Tosamaganga Sekondari

1970-1971 Seminari ya Mafinga
1975 - 1984 Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) - Postgraduate in Finance
1989 - 1991 IDM Mzumbe (MBA - Finance)

Ajira
1991 - 2000 - NBC Ltd (Mhasibu, Mhadhiri, Mkurugenzi, Mkurugenzi Mkuu)
2000 - 2010 - Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Mwanza (Mkuu wa Chuo)
2010 - 2013 - Mbunge, Kalenga (CCM)

Waziri wa Fedha,Dkt. William Mgimwa (pichani) alifariki Dunia Januari 1, 2014 katika Hospitali ya Mediclinic Kloff,alikokuwa amelazwa kwa matibabu.