Friday, January 3, 2014

HAYA NDIO MANENO YA MH. ZITTO KABWE ALIYOYAANDIKA KUTOKA KWENYE BIBLIA.

Kuhusiana na lile shitaka alilowakilisha Mahakamani,mh.Zitto Zuberi Kabwe kaandika ivi kwenye akaunti yake ya facebook

ISAYA 54:14 Utathibitika katika haki utakua mbali na kuonewa, kwa maana hutoogopa, na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.Tazama, yamkini watakusanyana , lakini si kwa shauri langu watu wowote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako.

No comments:

Post a Comment