Tuesday, November 5, 2013

WANANCHI WANATAKA MABADILIKO KUPITIA C.C.M NA WASIPOYAPATA WATAYAFUATA NJE YA C.C.M-MANENO YA J.K NYEREREE

Mwalimu J.K Nyerere alipokua kwenye mkutano mkuu wa c.c.m dodoma aliweza kuwaambia wana c.c.m haya kua ''wananchi wanataka mabadiliko na mabadiliko hayo wasipoyapata kwa kupitia c.c.m watayafuta nje ya c.c.m'',mwisho wa kumnukuu.

No comments:

Post a Comment