Wednesday, November 6, 2013

UNATAMBUA KUA CIARA NI MJAMZITO?,CHEKI HAPA





Mpaka sasa Cici hajatoa repoti yoyote kuhusu uvumi huu ila ijumaa hii huko Abu Dhabi kwenye show ya Beats on the Beach alionekana kwenye jukwa na rapper  Ludacris na picha za show hio  zinaonyesha kuwa Tumbo la Cici linazidi kuwa kubwa.

No comments:

Post a Comment