Tuesday, November 5, 2013

NAIBU WAZIRI AYAKATAA NA KUYAPINGA MABADILIKO YA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU

Naibu Wiziri wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Mh. Phillipo Mulugo jana alibatilisha uamuzi wa Wizara yake wa kubadilisha mfumo wa upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa mitihani ya kidato cha nne kama ilivyotolewa awali na kurejesha daraja sufuri na kuondoa division 5.

No comments:

Post a Comment