Tuesday, February 12, 2013

MSHIRIKI WA BBA AFANYA HAYA HADHARANI.(SAMAHANI KWA PICHA.)

Pombe watu wengi wanailaumu na wengine wanaisifia sana kutokana kila mtu inavompa hisia tofauti.Usupa staa ni mzigo wa miba ukiubeba utaumia hayo ni maneno yake Fid Q.Huyu hapa ni mshiriki wa BBA mwaka 2012 toka ****** hapa nchini akiwa anacheza music na mpenzi wake ndo wakaamua kufanya haya hadharani hebu tizama hii inajenga picha gani???????????????.

No comments:

Post a Comment