Wednesday, January 30, 2013

YALIYOJIRI MAHAKAMANI HAPO JANA



Lulu arejea uraiani tena mara baada ya msajili kuthibitisha dhamana hio kua ikom sawa mara baada ya kutimiza masharti.Kutokana na hilo basi ameweza kupata dhamana juu ya kesi yake ya kuua kwa bila kukusudia.
Lulu akiwa na mama yake nje ya mahakama mara baada ya dhamana hio kupatikana,hawakuweza kuzizuia hisia zao kitu ambacho kilipeleke a waangue vilio wakiwa nje ya mahakama.Pia lulu aliweza kusema haya huku machozi yakimtoka.......''nawashukuru watu wote ambao walikua nami kwenye hili linalonikabili na pia wazidi kuniombea maana hii ni dhaman na sio kwamba kesi ndo imeisha  na zaidi namshukuru sana mungu''

No comments:

Post a Comment