Saturday, January 26, 2013

HAYA NDO MATOKEO YA ZAMBIA VS NIGERIA

Hapo ni baada ya mchezaji wa Nigeria Mikel Obi kukosa penati na kupiga nje,hali ya mchezo ikawa ni vuta ni kuvute kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa zamu.

Baada ya muda mfupi baadae katika kipindi cha pili mshambuliaji wa Zambia akijulikana kwa jina la MAYUKA aliwezakuangushwa kwenye eneo la hatari na kupelekea mchezeshaji kuweza kuwapatia penati ambayo ilipigwa na mlinda mlango wa timu ya zambia(Mweene)ambapo alitupia kambani na hapo katika picha akiwa anamshukuru mungu na wenzake wakimpongeza.


No comments:

Post a Comment