Tuesday, January 29, 2013

ADHA WAZIPATAZO BAADHI YA ASKARI POLISI

Haya ndo maisha bora kwa kila mwananchi,miundombinu mibovu yapelekea watu wajiajiri wenyewe na pia kutumia usafiri wao wenyewe.Kwa mantiki hio basi hawa ni baadhi ya askati ambao waliamua kutumia usafiri wao binafsi ili kuweza aidha kujirejesha majumbani mwao mara baada ya kulitumikia taifa kwa kufanya shughuli nzito ya kuwalinda wananchi na mali zao.

No comments:

Post a Comment