Thursday, January 24, 2013

LULU KUREJEA KITAA KWA DHAMANA


Hatimae msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael alimaarufu ''lulu'',ameweza kupata dhamana ambayo itamuweka nje/uraiani tena mara baaada ya kupata mdhamana wa kutoa milioni ishirini kwa ajili yake.Kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wa alietuumba wakili wake alipata udhuru hapo jana ambapo pia ndo ilikua ni siku ya msanii huyo kutoka.pia kilichokwamisha kingine ni pesa hio kutotimia.


Hivo basi siku ya kesho lulu atakua nasi mtaani kwa mujibu wa chanzo cha habari.