Thursday, January 9, 2014

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE;BASI LA MTEI LACHOMWA MOTO NA WANANCHI MKOANI SINGIDA.

Ni baada ya kugongwa mtu wa boda boda na kuua wengine watatu papo hapo.Wananchi hao waliamua kufanya hayo kutokana na hasira.
Kwa picha na matukio zaidi nitawaletea hivi punde maana Mautundu Supplyer inafuatilia habari kwa kina mtajuzwa hapa hapa,