Wednesday, November 6, 2013

MWANAUME ATUMIA UUME WAKE KWA KUCHOREA PICHA.



Huyu ni mteja wake akiwa anachorwa na msanii wa kusani picha



Anaitwa Tim Patch kutoka Australia, Anachora Picha Kwa Kutumia Uume Wake. Badala ya kutumia brash maalum za kuchora yeye anatumia Uume wake kuchora picha kali za wateja wake na hana aibu, yupo tayari kusimama uchi mbele ya wanawake na wanaume na kuwachora.



hii ni baadhi ya picha alizochora.






HII NDIO MOVIE ILIYOFANYWA NA WATANZANIA WAIISHIO MAREKANI.

Ni filamu iliyofanywa kwa ushirikiano na watanzania waishio marekani na kuunganisha vipande vya nchi zote mbili ikiwa ni pamoja Tanzania ambapo wahusika wake wakuu ndio wamezaliwa inaitwa GOING BONGO.
itizame trailer hapa.Imegharimu $ 300,000 sawa na milioni 450 za kitanzania

UNAMKUMBUKA BERRY BLACK.HUYU HAPA YUKO STUDIO

BADO HUJAAMINI KUWA P SQUARE WANAKUJA BONGO?.THIBITISHA KWA HILI HAPA.

UNATAMBUA KUA CIARA NI MJAMZITO?,CHEKI HAPA





Mpaka sasa Cici hajatoa repoti yoyote kuhusu uvumi huu ila ijumaa hii huko Abu Dhabi kwenye show ya Beats on the Beach alionekana kwenye jukwa na rapper  Ludacris na picha za show hio  zinaonyesha kuwa Tumbo la Cici linazidi kuwa kubwa.