Monday, November 4, 2013

SEMA NENO MOJA KWA MRS WIZ KHALIFA.

Mwonekano wa Amber rose unaweza kuuzungumziaje


KAMA MFUATILIAJI WA BIG BROTHER AFRICA.HII INAKUHUSU

unamkumbuka huyu ni nani na je yuko na nani???????????????????????


PICHA YETU YA LEO HII.

Sema lolote juu ya picha hiiii.

2 FACE IDIBIA KAJIUNGA RASMI NA ILLUMINAT MNAMO MWAKA JANA.

Illuminati Approached Me Last Year - 2Face Idibia
While having a friendly conversation with some very close friends some time last week, the African music legend revealed that he was approached by members of the Illuminati to join and become their leader in Africa. 2Face was said to have been  chilling with some of his friends and laughing at some post they saw in the internet about D'banj and Charlyboy being members of the Illuminati, while their conversation was going on, a friend to the superstar whose name was not revealed to us by our very reliable source who was also present at the time of this conversation, was said to have asked 2Face "Dem go soon come meet you, Na Lady Gaga go sign you." 2Face reportedly replied "En ! Dem don try join me sef last year na!" We can only hope 2baba did not sign up! - See more at: http://www.naijapicks.com/2013/01/illuminati-approached-me-last-year.html#sthash.PQPgGtKW.dpuf

HUYU NDIO MWANAUME ANAEONGOZA KWA KUA NA MUSTACHI MREFU DUNIANI.


Hapa akiwa anazifanyia usafi akiwa kwake
Na kwa kuona kama haitoshi zaidi anaweza kuziweka kama waya umeme kutokana na jinsi zilivokaa

Alivozishika ni dhahiri kwamba amezitunza kwa muda mrefu sanaaa mpaka kufikia hapa

Unaweza kudhani ni za bandia ila hizi ni halisi,pia mke wake anajivunia kumwona mme wake yuko hivi.

HATIMAE WEMA,JOKATE WAKUTANISHWA NA MSIBA


Kila kitu mungu ana makusudi yake endapo tu pale kinapotokea.wiki moja tangu baba mzazi wa mwanadada Wema kufiwa na baba yake mzazi mzee Isaack Sepetu aliefariki dunia mnamo saa kumi na mbili asubuhi katika hospital ya TMJ jijini Dar.
Jokate alifanikiwa kufika na kumfariji mwanadada Wema.

KUWA WA KWANZA KUISOMA HII,NINA JINSIA MBILI NA NINATAFUTA MTU MWENYE JINSIA YEYOTE

Dunia ina kila kitu aidha cha kufurahisha na mengine ni ya kuhuzunisha,kama hili

huyu ni mwanamke ambae amekaa kwa zaidi ya miaka 20 bila kuingiliwa kimwili na mwanaume yeyote kutikana na hofu kua yeye ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi japokua kwa upande wa jinsia ya kike ndio haifanyi kazi vizuri ila ya kiume iko sawa.

HABARI BANDUGU.ILE BLOG YETU INAYOYUPATIA HABARI NA BURUDANI IMERUDI HEWANI

Kutikana na sababu zilizokua nje ya uwezo wa C.E.O wa Mautundu supplyer,hivo ikampelekea awaachie mafundi kazi hio ya mpaka sasa tumerudi tena