Saturday, February 9, 2013

MALCOM X QOUTE.GOOD NIGHT




    

''No body can give you freedom.
No body can give you equality or justice or anything.
If you are a man you take''



BAADHI YA MOVIES MPYA ZA MWAKA HUU 2013.ZITAZAME HAPA>>>>>>


Kwa wapenzi wa filamu za action hii hapa inakuhusu maaana iko njia kukujia ndani ya mwaka huu.kwanza ina mambo mengi yakusisimua ambayo yatakufanya usiweze kuichoka kuitizama.Hii hapa ni trailer yake.


warm bodies.

Shuhudia yaliyomo ndani ya hii movie ambayo imesheheni vituko,ukatili na mafunzo yanayopaswa kufuatwa na askari yeyote ulimwenguni ispokua kuua.
knights of Bdassdom.

V.V.U YAKE NASH MCEE ITIZAME HAPA>>>>


Kwa wapenda HIP HOP hii nadhani ni zawadi kwenu toka kwa Nash Robert Mcee kwa kuwapa taarifa kua wachungeni dada zenu maana anapita kwa kishindo.Ebwana bonge ya ngoma kali sana hebu fanya kama unaitazama hapa>>>>>