Wednesday, January 30, 2013

PHD HEMED AHAMIA NIGERIA

Mapenzi ni lugha ambato kila nafsi hua inaongea kwa nyakati tofauti tofauti na ndio iliyomtokea Hemed Suleiman alimaarufu PHD mara baada ya kuangukia kwa mrembo wa kinigeria nae pia akiwa ni msanii wa nchi hio iliyosheheni wasanii maarufu akiwa na yeye mwenyewe akijulikana kwa jina la Tiwa Savage.

DUNIA YAELEKEA WAPI????

Binti ajidhalilisha mara baada ya kupiga picha na msanii wa Uganda Jose Chameleon akiwa hivi hembu fanya yako hapa kwa kutoa comment juu ya hili;

Jose Chameleon na huyo dada



TEMBELEA HAPA UJISHINDIE PESA TASLIMU.

Msikae mnalalamika mitaani kua hakuna ajira tembelea hapa uweze jipatia pesa http://earn4refer.com/ref.php?page=act/ref&invcod=207478

MVUNJIKO WA MAADILI KWENYE TASNIA YA FILAMU


















pichani ni Rose Ndauka  na Mayaama
Huu ndo mmomonyoko wa maadili hasa kwa wasanii wetu wa bongo.Ni maswali mengi sana watanzania wanajiuliza juu ya sanaa hii ya uigizaji inakoelekea maana kila kukicha ni ni afadhali ya jana maana wasanii wanazidi kuiharibu jamii inayowatizama badala ya kuielimisha.

UWOYA





MARTINA







MATOKEO YA AFCON HAPO JANA


Jana mambo yalikua ivi ndani ya Africa cup of Nation.






LEO TAR 30/01/2013 MAGAZETI YAKO IVI


YALIYOJIRI MAHAKAMANI HAPO JANA



Lulu arejea uraiani tena mara baada ya msajili kuthibitisha dhamana hio kua ikom sawa mara baada ya kutimiza masharti.Kutokana na hilo basi ameweza kupata dhamana juu ya kesi yake ya kuua kwa bila kukusudia.
Lulu akiwa na mama yake nje ya mahakama mara baada ya dhamana hio kupatikana,hawakuweza kuzizuia hisia zao kitu ambacho kilipeleke a waangue vilio wakiwa nje ya mahakama.Pia lulu aliweza kusema haya huku machozi yakimtoka.......''nawashukuru watu wote ambao walikua nami kwenye hili linalonikabili na pia wazidi kuniombea maana hii ni dhaman na sio kwamba kesi ndo imeisha  na zaidi namshukuru sana mungu''

BARACK OBAMA ALIA HADHARANI



President Barack Obama wipes away tears as the thanks members of his campaign staff and volunteers.Obama's campaign released a five minutes video of President's address Wednesday to members of his staff at his Chicago headquarter.the short speech came a day after he won re-election.
the president talks about his work as a community organizer in Chicago and tells staffers and volunteers that they will do ''amazing thing'' in their lives.
Obama becomes emotional when he says that even before the election results,he felt the work he had done ''had come full circle''.He tells staff members he is proud of the work they did,then pauses to wipe away tears(AP)
Thank you,this is your victory