Haya ndo maisha bora kwa kila mwananchi,miundombinu mibovu yapelekea watu wajiajiri wenyewe na pia kutumia usafiri wao wenyewe.Kwa mantiki hio basi hawa ni baadhi ya askati ambao waliamua kutumia usafiri wao binafsi ili kuweza aidha kujirejesha majumbani mwao mara baada ya kulitumikia taifa kwa kufanya shughuli nzito ya kuwalinda wananchi na mali zao.
Tuesday, January 29, 2013
MAKAO MAKUU YA DINI YA MASHETAN YAHAMIA AFRIKA
Makao makuu ya dini hii ya mashetani sasa yahamishiwa nchini Nigeria,taarifa hio iliyoripotiwa mnamo januari 15 mwaka huu.Nchi wanachama ambazo pia zinaongoza kua na waumini wengi wa dini hii ya wanaoabu shetani ni pamoja na Nigeria yenyewe,Ghana pamoja nA South Africa
USIKU WA DIAMOND NAVY BEACH KIGAMBONI.
raia wakiwa wanawasili kwenye usiku wa diamond ndani ya kigamboni.
mnyamwezi Diamond akiwa anawasili ndani ya usiku ulioitwa usiku wake
diamond dancers
diamond akiwa na true boy alimaarufu nay wa mitego
huo ndo umati uliofurika ndani ya navy beach kigamboni
Subscribe to:
Posts (Atom)