Saturday, January 26, 2013

HALI YA MASASI-MTWARA ILIKUA HIVI.

PATASHIKA NDANI YA AFCON.


Wakali wote wakitokea nyanda za juu mwa bara la afrika katika maeneo ya jangwa la sahara ambapo wote watakutana kuweza kumtafuta nani mkali kwenye mchezo wa soka,haya wadau kazi kwenu mnamo saa 18:00 kwa nyakati zetu hapa nyumbani Tanzania.




TIZAMA MKASI,SALAMA AKIHOJIANA NA PREZZO

Wangapi mliweza kuishuhudia hii na kujua mengi kutoka kwa msanii wa wa musiki nchini kenya prezzo akiwa anafanya yake ndani ya kipindi cha watu wa nguvu ''MKASI'' ndani ya ting'a kali namba moja kwa vijana east africa television. 

HAYA NDO MATOKEO YA ZAMBIA VS NIGERIA

Hapo ni baada ya mchezaji wa Nigeria Mikel Obi kukosa penati na kupiga nje,hali ya mchezo ikawa ni vuta ni kuvute kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa zamu.

Baada ya muda mfupi baadae katika kipindi cha pili mshambuliaji wa Zambia akijulikana kwa jina la MAYUKA aliwezakuangushwa kwenye eneo la hatari na kupelekea mchezeshaji kuweza kuwapatia penati ambayo ilipigwa na mlinda mlango wa timu ya zambia(Mweene)ambapo alitupia kambani na hapo katika picha akiwa anamshukuru mungu na wenzake wakimpongeza.


PATA KUSOMA MAGAZETI YA LEO











JE ULIKUA UNALITAMBUA HILI??

Soma na wewe upate kuelimika na pia kuelimisha wengine maana haya mambo yanapatikana kwenye jamii zetu hususani za watu wenye mahusiano ndo mambo haya yameshamiri.pata elimu sasa,