Friday, January 25, 2013

UJIO MPYA WA 50 CENT AKIWA NA SNOOP DOGGY NA YOUNG JEEZY

Mzigo huu hapa tizama kwa mapana sana uweze kutoa tofauti za 50 cent wa in da club,p.i.m.p na nyingine nyingi na hii hapa ya sasa


DIAMOND AWACHANGANYA MASHABIKI WAKE.

Mapenzi ni lugha ambayo kila nafsi lazima itaiongea aidha kwa nyakati tofauti.Haya ndio mapenzi yaliyopelekea mashabiki wa msanii maarufu nchini Tanzania Diamond a.k.a asali ya mabinti/warembo na majina mengi aliyopewa kutokana na kua karibu nao hasa kimahusiano,hali iliopelekea kupachikwa majina hayo.Pamoja na hayo yote kujiri imezidi kuwachanganya mashabiki wake hasa pale alipoonekana kalala na mwanadada mmoja aitwae kwa jina la Penny kisa kilichozua gumzo katika mtandao wa kijamii wa facebook.
Mambo ya facebook yalikua hivi hasa katika mdahalo juu ya Diamond;


WEMA SEPETU AZUA GUMZO MITANDAO YA KIJAMII.

Msanii wa tasnia ya filamu nchini WEMA SEPETU,hivi karibuni ameweza kuzua gumzo katika mitandao ya kijamii hasa facebook mara baada ya kupost picha zake kwenye mtandao wa instagram,ikiwa inamuonesha akiwa katika hali flani ya chumbani kwani alionesha tumbo lake pamoja na sehemu za kifua chake.
kwa alivosema ney wa mitego hii inaweza kua na ukweli ndani yake kua makahaba wamo bongo movie kwa matendo wanayoyafanya wasanii wetu wa tasnia hiiya filamu.Mbali na hapo watu waliendelea kuonesha hisia zao kwa kupitia picha hio ya mwanadada Wema sepetu,mambo yalikua kama hivi;